NIMEKUWA NIKIPATA MASWALI MENGI KUTOKA KWA FUNS wangu na fellow directors kuhusu video ya ONE SIX - MAYA
Kwamba nilitumia vifaa gani,story alichora nani..haya ndo majibu.....
1.Story niliandika mwenyewe
2.Camera ilitumika canon 6OD with standard lens (18mm-55mm)
3. Lights ilitumika taa ndogo 1 ya watt 500
4.Shot zoote hazikuhusisha crane,slider,stand wala dolly ni mikono tuu
5.computer iliyo edit ni Packadbell,core i3,ram 4gb hdd 320
6.Softwire ilitumika Sony vegas pro 10 32bit pekeake
7.Colour grading ilifanyika kwa magic bullet looks plugin
8.Video nzima ilirekodiwa siku mbili mfululizo na ikafanyiwa editing siku 2 baadae
NI HAYO TU Maya video ikawa exported out
Kwa ambae hajaiona ipo live kwene hii link
https://www.youtube.com/watch?v=Iak7-Es5qwo

No comments:
Post a Comment