Biorn Production Studios
  • Home
  • Facebook
  • Youtube
  • Twitter
  • Instagram
  • Contact

Wednesday, April 29, 2015

WASANII WA MZIKI WA KIZAZI KIPYA TOKA DODOMA WASHIRIKISHWA KWENYE UKUSANYAJI WA PESA ZA UBORESHAJI WA MAZINGIRA YA ELIMU NA MKUU WA WILAYA-BETTY MKWASA

Kutoka kanda ya kati dodoma,mkuu wa wilaya ya mjini Mh. Betty Mkwasa amebuni mbinu ya kuitumia sanaa ya mziki wa kizazi kipya katika kuleta maendeleo kwenye sekta ya Elimu kwa kuwaunganisha wasanii watokao kanda hiyo kwa kufanya wimbo wa pamoja na kisha kuandaa Tamasha ambalo litajumuisha pia wasanii wakubwa ambao wataungana kwa ajili ya kufanya onyesho siku ya jumamosiya tarehe 2 mwezi May 2015 ndani ya viwanja vya Jamhuri Stadium pia baadae patakuwa na after party itakayomalizikia kwenye ukumbi wa Royal village hotel..ambapo lengo kuu ni kukusanya pesa kwa ajili ya Ujenzi wa Maabara za kisasa zitakazotumiwa na wanafunzi mkoani humo.Wasani wakubwa watakaoongoza show hiyo ni Bushoke, Ben Pol na Mzee yusuph.

Biorn Production Studios tawi la Dodoma imefanikiwa kutoa wasanii wawili watakaotuwakilisha kwenye Harambee hiyo ambao ni Big Born90 na Smao,wakali wengine toka dodoma ni Central Zone,Jaco Beats,Koku,Miracle,Mazichi reality,Rap Nation,Wise one,Da hawa na wengineo.
 
Viingilio:Jamhuri Stadium-Watoto Tsh.3,000/
Watu wazima 5,000/
Kwa wale watakaoenda After party-Royal Village- 20,000/ - Normal Entrace
V.I.P. 50,000/ & V.VIP 100,000/
WOTE MNAKARIBISHWA. 









No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Biorn Production

Is a music recording studio

Total Pageviews

Popular Posts

  • Last Night Lady Jaydee (@jidejaydee) won 'TANZANIAN BEST FEMALE ARTIST' on @tuzozawatu on behalf of her management team we would like to say THANK YOU FOR THE SUPPORTING OF GOOD MUSIC.
  • MSANII TOKA MWANZA ..ROCK CITY. AMEACHIA MKWAJU MKALI SANA WENYE UBORA WA KIMATAIFA.
    Msanii ajulikanaye kwa jina la Meda wiki hii ameachia wimbo uitwao Kongoi ambao ameuchia sambamba na video aloifanya na mtayarishaji nicklas...
  • WASANII KUTOKA NCHINI CHILE WAFANYA COLABO NA MSANII WA BONGO MWENYE MAKAZI NCHINI SWEDEN ''KABOKU TANZANIANO''
    Msanii wa kitanzania mwenye makazi yake nchini Sweden, ajulikanaye kwa jina la Kaboku Tanzaniano amerekodi wimbo kwa kuwashirikisha wasanii ...
  • MUONGOZAJI WA PICHA ZA KUTEMBEA ( VIDEO) MOE-KAALI KUTOKA DODOMA NI YULE ALIYETAYARISHA PIA VIDEO YA MSANII TOKA BIORN - BIG BORN90 KWA SASA YUPO DAR ANASHIRIKI KIKAMILIFU NA BONGO MOVIE KUANDAA FILAMU MPYA YA MUIGIZAJI NGULI TANZANIA JAY B A.K.A. BABA LA BABA
                  muigizaji mashuhuri kwenye tasnia ya filamu Wemma Sepetu akitoa ushirikiano wake         Dir. Moe Kaali akiwa mzigoni kw...
  • THE WINNERS DANCERS TEAM BIORN WATINGA FAINALI ZA DANCE MIA MIA KWA KISHINDO.
    The winners dancers team Biorn Yatinga fainali za dance mia mia kwa kishindo. Mashindano yameandaliwa na East Africa Television and radio K...
  • KAMA UPO TANZANIA TUNE MUDA HUU CAPITAL RADIO NA HOST WAKO JIWE MWANAKIJIJI UTAUSKIA HEWANI WIMBO WA ''NIWEJE'' UKIENDA HEWANI KWA MARA YA KWANZA TOKA KWA MSANII NICKRAY. PIA KAMA UTAPENDA KUWA WA KWANZA KUANGALIA VIDEO YAKE PITA HAPA NA U SUBSCRIBE KWA ACCOUNT HII YA YOU TUBE..https://www.youtube.com/watch?v=P5PLkxmWEoQ&feature=youtu.be.

Translate

Click Here to listen to all the songs!

WE KEEP GOOD MUSIC ALIVE ALWAYS

WE KEEP GOOD MUSIC ALIVE ALWAYS
Free Counter

© 2015 Bjorn Productions

Template and graphics by Luella K.