Wednesday, April 29, 2015

MUONGOZAJI WA PICHA ZA KUTEMBEA ( VIDEO) MOE-KAALI KUTOKA DODOMA NI YULE ALIYETAYARISHA PIA VIDEO YA MSANII TOKA BIORN - BIG BORN90 KWA SASA YUPO DAR ANASHIRIKI KIKAMILIFU NA BONGO MOVIE KUANDAA FILAMU MPYA YA MUIGIZAJI NGULI TANZANIA JAY B A.K.A. BABA LA BABA

              muigizaji mashuhuri kwenye tasnia ya filamu Wemma Sepetu akitoa ushirikiano wake

        Dir. Moe Kaali akiwa mzigoni kwenye location zitumikazo kwa shughuli ya filamu hiyo
 Muigizaji mkongwe Jb akijaribu kufafanua na kuweka mambo sawa wakati wa uandaaji wa filamu
  Mrembo aliyejizolea umaarufu kwa uigizaji wake Wema Sepetu akiwa on set kwa ajili ya filamu
          Muhusika mkuu wa filamu hiyo bhana Jay B akiwa kwenye miondoko ya filamu husika
Muongozaji Moe Kaali akiwa anavuta pumzi ya akili na Wema Sepetu A,k,a. Madamu

No comments:

Post a Comment