Washindi hawa walifanikiwa kufanya hit song iliyojuikana kwa jina la Karibu Dodoma,ni wimbo ambao hata leo hii ukipigwa lazima utajikuta unaimba na waru ama hadhira ya wana central zone.
Washiriki wengine walioishikishwa humo ni Big born90,Koko,kaka yake ajulikanaye kwa jina la Ainea wa sina mpango nae nk.
Msanii huyu ambae pia ni mwanafunzi wa kidato cha Tano mkoani Dodoma,Amefanya wimbo huu ndani yaa studio za Biorn Production chini ya Muandaaji Dash Touchez na kuufanyia video ambayo itatambulishwa kuanzia jtano hii kupitia vituo mbalimbali vya Televion na Blogs mbali mbali za ndani na nje ya nchi zikiwemo radio tofauti.
Director aliyemfanyia video ametoka nje ya mkoa wa Dododma anajulikana kwa jina la Jazzy Weezy ambae alikuwa anafanya kazi chini ya Muongozaji mashuri wa picha za video Hanscana.
Japo director ni wa nje ya mkoa lakini video hiyo imefanyika mazingira ya mkoani Dodoma.
Nickray alisema kupitia mtandao huu kwamba ninyi wadau wa muziki ni watu muhimu kwake hivyo anaomba mumpokee vema kwa ujio wake mpya.
Mungu ibariki Dodoma,Tanzania,Afrika na Dunia kwa ujumla.
No comments:
Post a Comment