Thursday, May 21, 2015

MKALI WA WIMBO WA ''NIWEJE''- NICKRAY ALIYEMSHIRIKISHA MWANA DADA 'KOKU -TAYARI ASHAMALIZA MAANDALIZI NA MIPANGO YA KUITAMBULISHA VIDEO YAKE MPYA KWENYE VITUO TOFAUTI IWEZE KUWAFIKIA WENGI.

1.Asubuhi ya leo tarehe 22-May atakuwa Tv-one saa 07:30.moja na nusu.
2.Mchana wa leo tarehe 22-May atakuwa Chanel Ten tv - saa 12:00- 13:00, sita hadi saba.
3.Mchana leo tarehe 22-may atakuwa East africa television (Eatv) saa 14:00, nane kwenye kipindi cha
5 select.
4.Jioni ya leo tarehe 22-may atamalizia pale Azam Tv.
Ratiba ya jumamosi tarehe 23 ataanza na Audio ya video hiyo ambayo imefanyika studio za Biorn Production tawi la Dodoma,Maili mbili chini ya Producer Dash-Touches. Atakuwa na interview ya kwanza saa 11:00- 12:00 Tano hadi sita mchana pale Capital Radio akiwa na mtangazaji Jiwe mwanakijiji. Kabla ya kuhamia Vituo vingine vya radios zetu Tanzania ambavyo nitakujulisha pitia kurasa zetu.
                                                                                                                                                                    Msanii Nickray akiwa amepozi na  mfalme wa raggae na dancehall Dabomtanzania

No comments:

Post a Comment