Tuesday, May 26, 2015

Video iliyochanganya sanaa ya ufundi pamoja na mziki kutoka TZK .Video imetengenezwa na muigizaji na mtengeneza film kutoka Stockholm TWIZZ Force .Twizz amewahi kutengeneza video ya Xplastaz pia iliyofanyaka kwenye mazingira ya treni za usafiri wa ndani ya jiji la Stockholm. Naomba shavu lenu wana diaspora .Tupo pamojah ! https://www.youtube.com/watch?v=zV-GpCFq67I


No comments:

Post a Comment