Tuesday, May 26, 2015

JE WEWE NI MWANA MITINDO AU MODEL,PENGINE HUSIWE NA VYOTE HIVYO LAKINI UKAPENDA KUWA NA PICHA ZENYE MUONEKANO BOMBA.

Katika hili inawezakana tukawa na maelekezo marefu kama tutatumia muda mwingi kwa kulielezea,isipokuwa kwa kifupi tu na ufasaha.
Ukiwa na tangazo,shughuli,mwanamuziki, mwanamitindo,au Model unahitaji kuwa na picha ambazo zitatumika kwenye cv yako pindi utakapokuwa unahitaji kujitangaza kwa ajili ya tenda za kazi yako,hivyo basi kupitia kampuni ya RAK STUDIOS. Iliyopo jijini D'salaam inakupa punguzo kwa ajili ya kuweza kufanikisha ndoto zako,punguzo hili ni la muda maalum.
Kwa wale ambao hawahusiani na shughuli hizo lakini wangependa kuwa na picha zenye muonekano bomba kwa ajili ya kutunza kumbukumbu pia mnakaribishwa muweze kupata huduma hiyo kwenye offisi zao zilizopo maeneo ya Sinza.
Huduma kama hizo pia tarajia kuzipata kwa wewe uliepo maeneo ya mkoa wa Dodoma,kupitia studio za biorn production kufika mwisho wa mwezi ujao,maeneo ya maili mbili zilipo offisi zetu.
Mtaalam na muongozaji mashuhuri wa picha za video atahusika.
Jaribu kufanya kile kilicho bora ili kukamilisha ndoto za safari ya maisha yako kwani tutakuwa tukifanya kazi kwenye shughuli zote za kijamii. 









No comments:

Post a Comment