Tuesday, June 2, 2015

MSANII TOKA MWANZA ..ROCK CITY. AMEACHIA MKWAJU MKALI SANA WENYE UBORA WA KIMATAIFA.

Msanii ajulikanaye kwa jina la Meda wiki hii ameachia wimbo uitwao Kongoi ambao ameuchia sambamba na video aloifanya na mtayarishaji nicklassm ni kazi yenye ubora wa hali ya juu mbele ya macho ya mtazamaji yeyote yule.
Kwa kuiangalia zaidi unaweza tembelea account zetu za you tube na ku subscribe andika Biorn Productions.






No comments:

Post a Comment