Sunday, June 7, 2015

WAKALI WAWILI AMBAO NI WANA NDUGU ''KIBA SQUARE'' WATUA USA TAYARI KWA SHOW

Wakali wawili wa miondoko ya bongo flava ambao pia ni kaka na mdogo wake maarufu kwa majina ya Ali Kiba ambaye ndiyo mkubwa, Abdu Kiba ambaye ni mdogo wote kwa pamoja wametua salama kwenye bara la Amerika tayari kwa ajili ya kufanya matamasha kufuatia mialiko waliyoipata toka kwa wenyeji wao pande hizo.
Tunajaribu kufuatilia kwa ukaribu ratiba na matukio ya shows hizo na tutakuletea kupitia pages zetu hapa hapa husiache kupita na kutazama yatakayojiri.



No comments:

Post a Comment