Tuesday, June 2, 2015

''USIKU WA NASHINDWA'' MKALI WA MIONDOKO YA MZIKI WA DANCE AKISHIRIKIANA NA BENDI YAKE YA MALAIKA ANADONDOSHA MOTO NDANI YA DAR LIVE JMOSI HII JUNE 6- 2015

Haya unakosaje sasa kwa mfano,ukiwa mpenzi wa mziki mzuri wa dansi inabidi ujiandae kwa kuzichanga na ukutane na wadau wengine wa burudani na wapenzi wa mwanamuziki Christian Bella na bendi yake nzima ya malaika.
Ni jumamosi hii ya tarehe 6 mwezi juni kwenye uwanja wa Taifa wa burudani mbagala Dar live kwa kiingilio cha pesa zenye thamani ya shilingi elfu saba (7000) za kitanzania kwani patawashwa moto wa usiku wa *Nashindwa* njoo ucheze na wapenzi wa Malaika band.

No comments:

Post a Comment