Thursday, July 9, 2015

TUNE EAST AFRICA TELEVISION LEO FRIDAY TAR 10 JULY NDANI YA FIVE SELECT ''THE WINNERS DANCERS TEAM BIORN'' KULETA AMSHA AMSHA KUELEKEA MASHINDANO YA DANSI MIA MIA.

Leo kikundi cha dancers kinachomilikiwa na Biorn production kijulikanacho kama the winners team biorn kitafanya mahojiano pale kwenye kituo cha televisheni ya East Africa ndani ya kipindi cha 5 selekt  hii ni kwa ajili ya kuleta amsha amsha tu kuelekea mashindano mengine tofauti na yale ya kenya, Mashindano haya hujulikana kama dansi mia mia kwani huandaliwa kila mwaka hapa hapa Tanzania kupitia televisheni hii kubwa kwa masuala ya burudani hapa nchini.
Husikose kutazama ufikapo muda wa kipindi ili upate kufahamu maandalizi ya kikundi hiki kwa michuano hii ya ndani ya nchi.
Heshima,juhudi na maarifa ndiyo msingi wa kazi.

No comments:

Post a Comment