Thursday, July 9, 2015

MWANADADA ''NILLAH'' A.K.A. HALLY C AMEKAMILISHA VIDEO YA WIMBO WAKE NI WEWE AMSHIRIKISHA MWISHO MWAMPAMBA

Mwanamuziki wa kike mwenye uwezo mkubwa wa sauti na kuimba toka pande za Central zone dodoma,Amekamilisha matayarisho ya Video ya wimbo wake unaoendelea kusikika na kufanya vizuri kupitia station za radio mbali mbali nchini na jirani ujulikanao kwa jina la Ni wewe.
Chupa hilo amelifanya chini ya mtayarishaji au muongozaji aitwae Abykaz inatarajiwa kuachiwa wakati wowote toka leo.
Humo ndani amemshirikisha aliyekuwa mshindi wa big brother afrika namba 2 bhana Mwisho Mwampamba.
Mtandao wetu umefanikiwa kupata baadhi ya picha walipokuwa kwenye maandalizi na upigaji wa video hiyo kama ifutavyo.






No comments:

Post a Comment