Wednesday, July 8, 2015

NI WEWE WIMBO MKALI TOKA KWA MWANAMUZIKI WA KIKE TOKA DODOMA ''HALL C''

Download hii ngoma ya huyu mdada uiskie jinsi alivyo na uwezo mkubwa wa kuimba....Blessed central zone..
Video yake itakamilika matayarisho siku za hivi karibuni ambapo amemshirikisha aliyekuwa mshindi wa big brother africa namba 2 Mwisho Mwampamba...nitakuleta hapa hapa

No comments:

Post a Comment